Jinsi ya kudownload movie na torrents nyingine

"Kama watu hawana movie mpya, download mwenyewe hata kwenye simu"
Photo by Appolinary Kalashnikova on Unsplash

1. Download BitTorrent au Utorrent. Google BitTorrent free download itakuja, install

2.Nenda kwenye site ya torrents. Yify, torrentz 2, biratebay, kickass nk, chagua movie au torrent unayotaka

3.Bonyeza magnet link (iko kama "n" ila haina mkia) movie itaenda kwenye bittorrent, kubali utaikuta kwenye downloads

Usisahau kusabscribe channel yetu kujifunza na kupunguza stress


Comments

Popular posts from this blog

Become a professional

Graduate V2.0 M-koba account

Become a consultant